Sugu afichua mwanaCCM aliyemtembelea gerezani, Nyumba ya Waziri yauzwa kwa mnada, Waliompiga Askofu wa KKKT watengwa, Vijana wa JKT, JKU kufanyiwa usaili polisi leo, Sugu ahoji Magufuli kutofanya ziara nje, Mzee Makamba azungumzia ripoti ya ukaguzi mali za CCM, Mke adaiwa kumuua mumewe katika ugomvi wa kudai chakula, Mahakama yampeleka Babu Tale mahabusu…,Bofya kutazama habari zilizopewa uzito katika magazeti ya Tanzania leo Mei 24, 2018.

Kuna baadhi ya Wizara ni kichefuchefu- Musukuma
Mkuu wa Jeshi la Polisi awaamuru wananchi kuwapiga mawe Polisi