Mwimbaji wa bongo fleva ,Chege chigunda amekudondoshea ngoma yake mpya pamoja na video.

Kwenye mzigo huo mkali Chege amemshirikisha Kalakala na Gift.

Unaweza kuitazama hapa na kuacha comment zako, zitawafikia

Chege Feat.Kalakala & Gift | Sungura Kamtie Moto | Official Video

Chama Cha Soka Dar es salaam Chatoa Tahadhari Kwa Young Africans
Picha: Alivyoagwa Bondia Mohamed Ali Kuelekea Safari Yake Ya Mwisho