Burudani Video: Sungura Kamtie Moto |Chege Feat.Kalakala & Gift 8 years ago Mwimbaji wa bongo fleva ,Chege chigunda amekudondoshea ngoma yake mpya pamoja na video. Kwenye mzigo huo mkali Chege amemshirikisha Kalakala na Gift. Unaweza kuitazama hapa na kuacha comment zako, zitawafikia Chege Feat.Kalakala & Gift | Sungura Kamtie Moto | Official Video Chama Cha Soka Dar es salaam Chatoa Tahadhari Kwa Young Africans Picha: Alivyoagwa Bondia Mohamed Ali Kuelekea Safari Yake Ya Mwisho