Kiongozi wa upinzani Bungeni, na Mbunge wa Hai (Chadema), Freeman Mbowe ameuliza kuhusu kikao cha Wabunge wa CCM kilichofanyika Octoba 25, 2016 kisha kukapewa zawadi ya shilingi milioni 10 kwa kila mmoja aliyeshiriki kikao hicho wakiwemo Mawaziri.

Mbowe aliuliza swali hilo akilielekeza kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati wa kipindi cha maswali na majibu kutoka kwa wabunge kwenda kwa Waziri Mkuu leo Novemba 3, 2016. Tazama hapa video

Sterling: Nilimpa Muda Wakala Wangu
Usajili Wa Kun Aguero Waisumbua Real Madrid