Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila leo Oktoba 4, 2016 ameweka jiwe la msingi la jengo la Kituo cha Pamoja cha Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) ambalo limejengwa kwa lengo la kuwaweka pamoja wadau wote wanaotoa huduma katika bandari ya Dar es Salaam ikiwa ni juhudi za kuboresha huduma na kupunguza gharama kwa watumiaji wa bandari hiyo.

TPA wametoa taarifa ya jengo hilo ambapo wamesema jengo hilo lina ukubwa wa meta za mraba 65115 na urefu wa mita 157,  lina nafasi yakuegesha, linanafasi yakuegesha magari 410.

Amesema jengo hilo lina ghorofa mbili chini usawa wa ardhi na ni jengo refu Afrika Masharika na kati, Jengo hilo limejengwa na Kampuni za Kitanzania kwa jumla ya Dolla milioni 130. Bofya hapa kutazama video

Bodi ya CUF yachanika katikati, Lipumba apata watetezi wapya
Video: Sababu za kuongezeka kwa magonjwa