Vyama vya siasa nchini vya upinzani vimetoa tamko lao leo tarehe Agosti 25, 2016 baada ya kukutana na viongozi wa dini jana.

Akizungumza na waandishi wa habari mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia amesema kuwa viongozi wa dini wanafanya juhudi kubwa ili kuweza kuokoa mpasuko wa kisiasa unaotaka kujitokeza, viongozi hao wameamua kuchukua hatua hiyo mara baada ya kuona wanasiasa wanakosa uvumilivu kitu ambacho kinaweza kuleta athari kwa jamii. Tazama video hapa #USIPITWE

UWASATA Wapinga Maandamano Ya Chadema
Video: Mazoezi Ya Wazi Ya Jeshi La Polisi Yanatia Hofu - Mbatia