Fursa mpya za biashara zinanazopatikana Tandale jijini Dar es salaam kwaajili ya vijana zimebainishwa na shirika lisilo la kiserikali Tandale youth development center (TYDC) ,

Mwezeshaji wa TYDC, Ziredi Juma, amesema kuwa tayari baadhi ya vijana wamesha anza kunufaika.

Wilaya ya Mufindi yaanza kuwabaini Wabakaji na Walawiti
Tanesco Songwe wapewa siku tatu kujieleza

Comments

comments