Ikiwa leo ni maadhimisho ya siku ya wajane Duniani, Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zinaadhimisha siku hii kwa kupitia chama cha TAWIA, ambacho kinajihusisha moja kwa moja kusaidia wajane nchini kote.

kwa mwaka huu maadhimisho kitaifa yanafanyika jijini Dodoma, ambapo Mkurugenzi wa TAWIA Rose Sarwatt, ameiambia Dar 24 kuwa bado wajane wanavurugwa na bado kuna mila kandamizi zinazo watesa wajane nchini …, Bofya hapa kutazama video hiyo.

Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Juni 24, 2019
Ethiopia: Mkuu wa majeshi auawa kwenye jaribio la Mapinduzi

Comments

comments