Matamasha ya kuadhimisha mambo mbalimbali yamekuwa yakifanyika kwa miaka mingi duniani lakini yaliyozoeleka ni yale yanayohusisha muziki, biashara, vyakula, mavazi na kadhalika ikiwa ni sehemu ya kudumisha utamaduni wa sehemu husika.

Kutokana na uwepo wa teknolojia kumefanya tufahamu matamasha yanayofanyika sehemu tofauti duniani ambayo kutokana na tamaduni zetu imefanya tuone siyo ya kawaida.

Leo katika kipindi cha Zaidi nimeangazia matamsha ya ajabu zaidi yanayofanyika sehemu mbalimbali katika uso wa dunia yapo matamasha mengi lakini nimeangazia matamasha matano.

Tazama hapa matamasha hayo.

Serikali yapanga kuzalisha Mitamba zaidi ya mil. 1 kwa mwaka
Video: Haya ndio magereza yenye ulinzi mkali zaidi duniani

Comments

comments