Tazama hapa mzee Kilomoni aliyekuwa Mdhamini wa Simba, alivyo kamatwa na Polisi leo  kwa tuhuma za kufanya mkusanyiko wa watu bila kibali, wakati alipo fanya mkutano na waandishi wa habari nyumbani kwake, kinondoni jijini Dar es salaam.

Mzee Kilomoni aliitisha mkutano na waandishi wa habari kwa madai ya kutaka ‘kupiga msumali wa moto’ juu ya kinachoendelea ndani ya klabu ya michezo ya Simba na mchakato wake  lakini amekamatwa kabla hajapigilia…, Bofya hapa kutazama.

Tanzania kuiuzia mahindi Kenya
Rais wa Tunisia afariki dunia