Suala la ulinzi kwa viongozi wa Serikali  ni kitu kinachotiliwa mkazo wa hali ya juu na hii ni kutokana na umuhimu na uzito wa kazi wanazofanya viongozi hao licha ya kuwa kila kiongozi kwenye kila nchi anakuwa na ulinzi wa kujitosheleza.

Basa leo kwenye kipindi cha Zaidi nimekuandalia viongozi wenye ulinzi mkubwa zaidi hapa duniani kulinganisha na viongozi wengine.

Zaidi ni kipindi kinachokuletea mambo mbalimbali yaliyowahi kuvunja rekodi hapa duniani.

Tazama hapa chini kuwafahamu viongozi wenye ulinzi mkubwa zaidi duniani.

Video: Hii ndiyo sababu, Ukitoroka kwenye magareza haya lazima ufariki
TANZIA: Baba mzazi wa Prof.Jay afariki dunia