Lowassa: TB Joshua ametutabiria ushindi 2020, Ajira zamwagwa… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Desemba 14, 2016, Ungana na Dar24 Magazeti  kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

#HapoKale
Ukata wamtupa jela miezi 6 Diwani wa CUF