Mizigo  inayosafirishwa kutoka nje ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia nchini huwa haitozwi kodi bandarini peke yake bali ni popote pale inapo ingizwa,                                                               Aidha TRA wameongeza kuwa ”kwa mujibu wa sheria huduma na bidhaa yoyote ikitolewa nchini huduma hiyo inatozwa kodi ya ongezeko la thamani”

Kampuni Ya Mabasi City Boy Yafungiwa
Video: TRA watoa taarifa ya ukusanyaji mapato kwa mwaka wa fedha 2015/2016