Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) imetoa taarifa ya makusanyo ya mwezi Juni ambao ni mwezi  unaofunga mwaka wa fedha 2015/2016 elite singles no. TRA imekusanya trilioni 1.4 kwa mwezi Juni pekee na kwa mwaka wa fedha 2015/2016 wamekusanya zaidi ya trilioni 13.3 na kufikia lengo la makusanyo kwa mwaka huo la trilioni 13.36.

Video: TRA - Mizigo haitozwi huduma Bandarini tu
Video: Ajali 3 zilizosababisha vifo vya watu 46, majeruhi 75 chanzo ni uzembe wa Madereva