TRA yatishia kuuza mali za Paul Makonda, ni makontena 20 yaliyokaa bandarini zaidi ya siku 90 ambapo yasipotolewa ndani ya siku 30 kupigwa mnada, Bajeti kilimo kaa la moto, Sugu aikumbuka siku aliyovuliwa nguo zote gerezani, CCM, Ukawa waungana kugomea bajeti nyeti, Burudani JPM akigawa matunda kwa wananchi, BOT yaridhia kuunganisha Benki ya Posta na Twiga…,Bofya kutazama habari zote zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 17, 2018.

Wanakijiji wawakingia kifua waganga wa kienyeji
Mpitanjia agoma kujivua uwakili kesi ya Nondo

Comments

comments