Juni 16, 2016 maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika, Tume ya haki za binadamu na utawala bora (THBUB) imetoa wito kwa umma, Serikali na wadau mbali mbali wa haki za watoto kuunganisha nguvu kupinga vitendo vya ukatili kwa watoto.

“Tume inalaani kwa nguvu zake zote ukatili wa aina yoyote wanaofanyiwa watoto” – Salma Ali, Kamishna Tume ya haki na utawala bora.

Tume hiyo imeztiaja changamoto zinazowakabiri watoto pia wametoa mapendekezo 9 ili kumlinda mtoto wa Afrika

CAF Yawakubali Wachezaji Wote Wa Young Africans
TANZANIA KUWA MWENYEJI KONGAMANO LA MAJI AFRIKA