Tumemchoka Mange – DCI, amtaka Lissu aseme ukweli asiingize siasa, Magufuli awaonya viongozi wastaafu, Sitanyonga, Lowassa atua Nairobi, azungumzia afya ya Lissu, Kigogo adai wanatumikia kifungo mamboleo…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 10, 2017. Tazama video

LIVE: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Septemba 12, 2017
Serikali kuanzisha Fao la Upotevu wa Ajira