Mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega ameamua kumpa mtoto wake jina la ‘Tulia’ akieleza kukubali uwezo wa naibu spika Dk. Tulia Ackson.

Mke wangu mwaka jana alipoteza mtoto wa umri wa miezi tisa, mwaka wa majuzi pia alipoteza mtoto wa miezi tisa lakini hakukata tamaa na hatimae mwaka huu mambo yamependeza tumepata mtoto na mtoto huyu nitampa jina la Tulia‘ –  Abdallah Ulega

Video: Mataifa 54 kufika Tanzania Kongamano la maji Afrika
"Hapa katiba tu"