Mbunge wa Tanga Mjini Mbaruku Bakari ni kati ya Wabunge waliopata nafasi ya kutoa maoni yao kuhusu bajeti iliyoombwa na Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi kwa mwaka wa fedha 21016/2017.

‘Yupo makamu wa chuo kimoja amesema – Hata wanafunzi wa Chuo Kikuu hawawezi kuandika barua ya kuomba kazi kwa kingereza’ – Mbaruku Bakari

Haya hapa ayiyoyasema Mbunge Mbaruku Bakari

Unajua kwanini mapenzi ya mbali hayadumu? Hizi hapa sababu 5
Video: Zitto Kabwe Ameyaongea haya Kwa Wizara ya Elimu Kuhusu Elimu ya Tanzania