Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu leo Oktoba 18, 2017 ameongea kwa mara ya kwanza tangu ashambuliwe kwa risasi mjini Dodoma.

Tundu Lissu ambaye amelazwa katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya ameongea kwa mara ya kwanza ambapo amewashukuru watanzania kwa ujumla kwa maombi ambayo amesema kuwa ndiyo pekee yaliyowezesha yeye kuwepo duniani kwani kama si hivyo ingekuwa tofauti, Pia kipekee amewashukuru jopo la Madaktari kutoka Kenya pia Tanzania ambao wameupigania uhai wake tangu tukio hilo lilipotokea. Sikiliza hapa alichoongea


Video: MADHARA YA UREMBO: Kubandika KOPE za bandia kunamadhara makubwa katika macho yako

Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 19, 2017
Habari picha, Luhaga Mpina akiteta jambo na watumishi