Tundu Lissu dunia nzima, Ni baada ya nchi, taasisi za kimataifa kulaani, kutoa pole, Spika asema risasi 32 zilifyatuliwa, tano zilimpata, Dereva aliyemnusuru anena, Vigogo waanza kukamatwa, Manji sasa akomalia udiwani wake…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 9, 2017. Tazama video

Bashe aomba muongozo kuhusu uhakika wa maisha
Tundu Lissu anayo mengi ya kuzungumza- Nape Nnauye