Hizi hapa Headlines za Magazeti ya hapa TZ leo Juni 30 2016. kati ya stori zilizopo ni hii ya ‘Tundu Lissu Mbaroni’ ambapo Magazeti mengi yameiandika habari hii.

“MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema) jana alijisalimisha Kituo Kikuu cha Polisi, Dar es Salaam kwa ajili ya kuhojiwa kutokana na kauli za uchochezi alizozitoa, lakini akakosa dhamana. Hatua ya Lissu kukosa dhamana na kulala rumande imekuja siku moja baada ya kuachiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu anakokabiliwa na mashitaka ya kuchapisha taarifa za uchochezi katika gazeti la Mawio”

Mwanamziki Aliyepotea Ghafla Nigeria Apatikana
Ajabu: Mwanaume afunga ndoa na ‘simu yake’ kanisani