Ugomvi wa DC, mbunge watua kwa Waziri Mkuu, Vijana wa CCM wamuonya Seif, Obama aombwa amdhibiti Trump… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Januari 31, 2017, Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Watford Wakataa Ombi La Odion Ighalo
Mwenyekiti CCM Mbeya apigwa risasi