Msanii wa bongo fleva nchni, Ney wa Mitego ambaye siku chache zilizopita alikumbwa na sakata la zoazoa la Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), baada ya kufungiwa nyimbo zake tatu zilizodaiwa kukosa maadili ya Kitanzania.

Sasa ameachia nyimbo yake mpya aliyoitambulisha kwa jina la ‘Amsha popo’  wimbo uliotayarishwa na Awesome (Osam) katika studio za Free Nation.

Katika wimbo huo Ney wa Mitego amesikika akisema, ”Haiuzwi chini ya miaka 18, weka mbali na watoto”.

Kujua zaidi kilichoimbwa ndani ya wimbo huo bonyeza link hapo chini kuusikiliza na kuusapoti muziki wa Ney wa Mitego.

Wali nazi kutangazwa kimataifa
Lionel Messi ampeleka Neymar Manchester City

Comments

comments