Mkurugenzi wa Kampuni ya CZI, Cyprian Musiba amesema kuwa kila mmiliki wa chombo cha habari anapaswa kufanya kazi na Serikali.

Ameyasema hayo hii leo jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa Gazeti la Tanzanite, ambapo amewaasa wamiliki wa vyombo vya habari kufanyakazi kwa karibu na Serikali.

“Kama ukiivuruga serikali nawewe ikakuvuruga unalala njaa, hivyo kwa vyombo vyangu vya habari vitafanya kazi kwa karibu sana na serikali kwasababu sitaki kulala njaa,”amesema Musiba

Jeshi la polisi: Msifuate mkumbo kuandamana
Video: Dkt. Ndugulile azindua kampeni ya zimamoto mlango kwa mlango