Undani kutimuliwa Simba na Madabida, Kinana aanika kile walichomfanyia Magufuli, Makonda aagiza bomoa bomoa Dar, JPM amshtua Lema, awashukuru Wabunge CCM kumtembelea nyumbani kwake…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Machi 15, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Floyd Mayweather Kurudi Ulingoni Juni 10
Mpiganaji Wa Kickboxing Afariki Dunia