Habari Video: Utapeli wa Mwakyembe wamwagwa hadharani. CCM: Gwajima mchonganishi – Magazeti Juni 20 2016 7 years ago Hizi hapa Headline katika Magazeti ya leo Juni 20 2016 kati ya Headlines hizo ni pamoja na hii ya – Utapeli wa Mwakyembe wamwagwa hadharani, Ni katika sakata la utapeli wa bil 2 Kampuni ya Power Pool yajitokeza Yakiri Kumtambua raia wa Korea Ajira Zaidi ya 500 Kuwanufaisha Wahitimu Elimu ya Juu Nape asema Lowassa ni alama ya ufisadi, ampa ushauri mgumu