Mbunge wa Karagwe Innocent Bashungwa amesimama nakuomba serikali iboreshe uwanja wa kayanga uliopo jimboni kwake ikiwa ni kumbukumbu iliyoachwa na Rais Magufuli kwa kupiga push up  kwa mara ya kwanza katika kipindi cha kampeni.

Waziri wa habari,utamaduni,sanaa na michezo Nape Nnauye ametuletea majibu ya ombi hilo la Mbunge Bashungwa

Wizara na halmashauri zitakaa pamoja kuona namna ya kuweka kumbukumbu muhimu ya serikali ya awamu ya tano”- Nape Nnauye

Simon Msuva: Sina Shaka Na Hassan Kessy
Claudio Ranieri Akata Tamaa, Awafunguliwa Milango Arsenal