Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza majina 11 ya wanachama waliojitokeza kuchukua fomu kuwania nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwa ni siku 12 tangu kufunguliwa kwa mchakato huo.

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano, Tumaini Makene amewataja Wagombea

1. Charles, Mwita Isaya, 2. Lissu, A.M Tundu 3. Dkt. Majinge,Kavura Mayrose, 4. Manyama, Toja Leonard 5. Mbowe, Aikaeli Freeman 6.Msigwa, Simon Pete 7. Mwanalyela, Nicodemus Gasper, 8. Nalo, G.O.M Opiyo 9. Adv. Neo, Richmund Simba 10. Nyalandu, Samuel Lazaro 11. Shaban, Msafiri….., Bofya hapa kutazama