Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) imetoa taarifa kuwa inatarajia kufanya maandamano nchi nzima tarehe 31 Agosti 31 mwaka huu kwa lengo la kumpongeza Rais, Dkt. John Magufuli kwa utendaji wake wa kazi tangu alipoingia madarakani.

Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa UVCCM, Shaka Hamdu Shaka

“Rais Magufuli amefanya mambo mengi sana ndani ya muda mfupi tangu aingie madarakani hivyo hawana budi kumpongeza kwa njia ya maandamano ili kufikisha ujumbe kwa jamii na kumshukuru kwa kazi nzuri anayoifanya,” amesema Shaka Hamdu Shaka.

Video: BAVICHA - Tumeamua kumsaidia Rais Magufuli, Waomba kupewa ulinzi Septemba 1
Babu Arsene Wenger Akata Mzizi Wa Maneno Maneno