Vilio vinne kufungwa mgodi mkubwa nchini, Ubunge wa Bulembo na Kabudi shakani… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Januari 20, 2017, Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Lissu akana kuchapisha taarifa za uchochezi
Dhahabu zakauka buzwagi,mgodi kupigwa kufuli desemba