Viongozi watatu wa Chadema wafungwa, Ujenzi wa hospitali wamng’oa kigogo, Ungegharimu shilingi bilioni 46/- … hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Januari 19, 2017, Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Sheria ya makosa ya mitandaoni yaanza kung'ata
Sipendi 'ku-tweet' ila nalazimika tu - Trump