Wabunge wahofia njaa, Dodoma washindia uji wa ubuyu kwa kukosa chakula, Usalama wa Taifa wazuiwa Bungeni, ni baada ya mjadala wa utekaji kuanza tena, Dkt, Mwakyembe, Joshua Nasari wavurugana…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 20, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

LIVE: Waziri Mkuu akijibu maswali ya Wabunge ya papo kwa papo Bungeni Dodoma leo Aprili 20, 2017

Mufindi yapewa mwezi mmoja kutoa elimu ya utunzaji mazingira
Magazeti ya Tanzania leo Aprili 20, 2017