Mkurugenzi wa taasisi ya Ever lasting Legal Aid Foundation inayotoa msaada wa kisheria kwa wananchi, Khamis Masoud ametoa wito kwa waislam nchini kujifunza madhara ya talaka kwa familia msimu huu wa ramadhani.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, amesema kuwa katika ofisi yao wanapokea malalamiko mengi yanayotokana na talaka, hivyo ni vyema waumini hao mwezi huu mtukufu wa Ramadhani katika mawaidha wajifunze madhara ya talaka katika ndoa.

TECNO yadhamini mashindano ya wanafunzi UDSM
Video: Steve Nyerere - Hakuna Kaole bila ITV/Hata kama haikuwalipa, Wamuage Dk. Mengi

Comments

comments