Kamati ya Maudhui ya utangazaji imetoa onyo kali kwa kituo cha Radio cha Magic FM ya Jijini Dar es salaam kufuatia ukiukwaji wa kanuni za utangazaji.

Akitoa onyo kwa kituo hicho Makamu Mwenyekiti wa Mamati ya Maudhui, Joseph Mapunda jana septemba 16, 2016 amekitaka kituo hicho kuomba radhi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli pamoja na Watanzania kufuatia uvunjaji wa kanuni za maudhui kwa kumkashifu Rais Magufuli na Serikali na kuchochea, kuhamasisha uvunjivu wa Aman.

Baada ya maamuzi hayo kutoka Kamati ya Maudhui ya Utangazaji yaliyotolewa, Mkurugenzi wa vipindi Magic FM, Davitius Mango ameyaongea haya:- Tazama video

Video: Mtanzania anayeimba Taarabu Canada amekuja na hii 'Msaliti'
Lowassa , Maalim Seif, Sumaye kung’arisha jukwaa mechi ya Simba na Yanga

Comments

comments