Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka amekutana na waandishi wa habari na kuzungumza mambo kadhaa ambapo kati ya mambo aliyozungumzia haya hapa

‘nataka niseme katika jambo hili, sijajua wameshauriwa na nani japo kwenye gazeti wamesema wameshauriwa na mshauri wao wa siasa profesa mmoja ambaye amekuwa nje katika kipindi chote cha uhai wa mwalimu na akarudi juzi kutoka Botswana, ndiye kawashauri kwamba hizi ndio sifa za serikali ya kidikteta nao wakameza bila kutafakari na wanaamua kucheua bila kuitafakari nataka niwaambie Rais ana madaraka’ – Christopher Ole Sendeka

Jurgen Klopp Kumtema Christian Benteke, Kumsajili Gonzalo Higuain
Nabil Fekir Kumfuata Dimitri Payet West Ham Utd