Video: Walichozungumza JWTZ kuhusu Tarehe 1 Septemba, 2016
8 years ago
Jeshi la Wananchi limesema siku ya tarehe 1 septemba,linawakaribisha wananchi wote kushiriki katika shughuli mbalimbali zitakazofanyika siku hiyo ikiwemo kufanya usafi na shughuli za michezo.