Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Sirro amesema kuwa Mwandishi, Silas Mbise aliyepigwa na Polisi Agosti 08 mwaka huu katika uwanja wa Taifa alimkaba na kumtishia Askari.

Amesema kuwa Mbise alifanya hivyo baada ya kuzuiwa kuingia sehemu aliyokuwa haruhusiwi kuingia, ndipo alipolndipo polisi wakatumia nguvu kumdhibiti.

“Mpaka sasa uchunguzi bado unaendelea, lakini pale itakapobainika kwamba Polisi waliompiga wanamakosa, sheria itachukua mkondo wake, kama ikibainika Mbise kama alifanya fujo vilevile na kwake sheria itachukua mkondo wake,”amesema IGP Sirro

Ufaransa yashika usukani viwango vya ubora duniani
Matteo Guendouzi aahidi ubingwa 2018/19