Mkuu wa Mkoa Wa Dar es salaam, Paul Makonda amekutana na ujumbe wa walimu 18 kutoka nchini marekani ambao wapo hapa nchi kwa ajili ya kujifunza masuala mbalimbali ikiwemo utamaduni, lugha ya kiswahili na namna ya kuandaa mitaala.
Walimu hao ni Pamoja na wa washule za Msingi na Sekondari na miongoni mwa masuala waliyozungumzia wakati wa mkutano wao huo ni pamoja na kuangalia namna ya kujenga maktaba ya jamii mkoani Dar es salaam ambayo itawezesha wananchi kupata fursa ya kujisomea na kuelewa utamaduni Wa nchi hiyo na ndani ya nchi.
Kufuatia mikakati hiyo ya ujenzi aa maktaba, Makonda amewahimiza wananchi wa Dar es salaam kujenga utamaduni wa kujisomea.

Magazeti ya Tanzania leo Julai 14, 2017
Everton yaifunga Gor Mahia, wavimbiana kama Ulaya