Wanasheria wa Umoja wa Kutetea Katiba ya Wananchi (Ukawa) leo Oktoba 1, 2016 wameagizwa kuungana ili kutetea maslahi ya Chama cha Wananchi (CUF).

Akizungumza na Waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema kuwa matatizo yanayoikumba CUF ni ya wote(Ukawa), hivyo Ukawa itahakikisha haki za CUF na vyama vyote ndani ya Ukawa zinalindwa na kuheshimiwa. Bofya hapa kuazama video

Simba, Yanga Watoshana Taifa, Kazimoto atema cheche baada ya mechi
SimbaYanga: Vurugu zaibuka uwanjani kupinga goli la Tambwe, polisi wapiga mabomu