Katika mchezo wa mpira wa miguu kunakuwa na vituko mbali mbali vinavyotokea uwanjani, vingine vya kufurahisha lakini vingine vya kukasirisha. imezoeleka kwa wanasoka wengi kupoteza muda makusudi uwanjani kama tu timu zao zinaongoza mchezo kwa magoli au mchezo umekuwa mgumu kwao hivyo wanataka japo mchezo umalizike bila ya kufungana. Bofya hapa chini kuitazama hii kali