Leo Juni 14 2016 Mwenyekiti wa Tanzania Labour (TLP) taifa, Augustino Mrema amekutana na Waandishi wa Habari na kusema hale yaliyomoyoni mwake huku akielekeza kidole kwa Vyama pinzani akidai wanataka kikiua chama chake. kati ya mambo aliyoyasema Mrema ni kwamba Wapinzani hawazingatii sheria na katiba ya nchi hivyo wanavuruga chaguzi.

Bofya hapa kutazama alichosema Augustino Mrema

Video: Mbunge Goodluck amekuja na style ya aina yake Bungeni, ‘Hawachomoki’
Kamanda Siro: Kongamano la Zitto Marufuku, tutamkamata tu