Wasanii wa sanaa za Ufundi Mkoani Morogoro katika wilaya ya Kilosa kata ya Dumila wamepelekewa mikopo ya Kopa fasta hadi mlangoni kwa kufunguliwa ofisi ya wakala wa Kopa fasta katika eneolao.

Akizungumza Mratibu wa Kopa fasta, Patrick Kang’ombe, amesema kuwa wameamua kufungua ofisi katika eneo hilo kutokana na mwitikio mkubwa walionao wasanii wa Dumila, na ameahidi kuendelea kufungua ofisi zao katika wilaya mbalimbali ili wasanii wapate huduma karibu zaidi.

Mahakama yaridhia uamuzi wa Spika kumvua ubunge Nassari
Video: Wasanii Dumila walivyoupokea Mradi wa TACIP kwa kishindo

Comments

comments