Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, Gilles Muroto ametoa onyo kali kwa wale watakao jitokeza kuandamana hapo kesho.

Ameyasema hayo wakati wa mazoezi ya pamoja yaliyofanyika mkoani humo, ambapo amesema kuwa waandamanaji hao watapata kipigo cha Mbwa Koko.

“Napenda kutoa tahadhari kwa wale waliopanga kuandamana hapo kesho, watapata kipigo, si kipigo tu bali ni kipigo cha Mbwa Koko,”amesema Kamanda Muroto

 

Magazeti ya ndani na nje ya Tanzania leo Aprili 26, 2018
Nguruwe wapigwa marufuku Dodoma

Comments

comments