Headlines za Magazeti ya leo Juni 27 – 2016. Iliyopewa uzito katika magazeti mengi ni hii ya Rais John Magufuli kufanya mabadiliko kwenye safu ya Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya, akiwaweka kando baadhi, kuhamisha na kuwapa nafasi watendaji wengine wapya kwenye nafasi hizo. Ambapo taarifa hiyo ilitolewa na kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu ikimnukuu Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi imeeleza kuwa Rais Magufuli amefanya uteuzi huo ambapo ameteua wakuu wa wilaya 139.

Kilichoandikwa Kwenye Magazeti Ya England Hii Leo
Papa Francis: Kanisa Halina Mamlaka ya Kuhukumu