Watu 12 wafa ajali ya jahazi, Mtatiro, Lipumba waingia vita mpya, Ruzuku ya CUF yachotwa kwa staili ya Escrow… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Januari 11, 2017, Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

AY: Ben Pol ndiye R.Kelly wetu Afrika
Ahukumiwa kifo baada kujihararishia mauaji

Comments

comments