Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro, Wilbroad Mutafungwa amesema kuwa zaidi ya watu 57 wamepoteza maisha katika ajali ya Lori iliyotokea majira ya saa mbili asubuhi mkoani humo.

Amesema kuwa ajali hiyo imetokea mita 200 kutoka kituo kikuu cha mabasi cha Msamvu ukitokea Dar es salaam.

Baadhi ya mashuhuda wamesema kuwa muda mfupi baada Lori hilo la mafuta kupinduka, watu mbalimbali walianza kuchota mafuta.

Video: Alikiba, Ommy Dimpoz, Willy Paul waunganisha nguvu na kuachia 'Nishikilie'
Watanzania 9 wahukumiwa kwenda jela nchini Marekani