Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limekamata watuhumiwa wa 167 kwa makosa mbalimbali wakiwemo wanaojihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya.

Hayo yamesemwa na Kaimu Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Kamanda Lucas Mkondya alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amesema kuwa watuhumiwa hao wa makosa mbalimbali.

“Hii yote ni matunda ya operesheni endelevu ambayo tumekuwa tukiifanya ili kulifanya jiji liwe katika hali ya amani na usalama, naomba nitoe wito kwa wananchi kutoa ushirikiano na jeshi letu ili tuweze kutokomeza kabisa vitendo vya uporaji,”amesema Mkondya

Magazeti ya Tanzania leo Agosti 19, 2017
Video: Lissu awageukia usalama wa taifa, amtaka IGP Sirro kupambana na wahalifu