Leo Juni 28 – 2016 kuna hizi stori zilizo shika Headlin zaidi katika Magazeti ya hapa TZ, ambapo kati ya stori hizo ni hii ya Wauaji Tanga, Msikitini Mwanza wauawa Dar.

“Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewaua majambazi sugu wawili katika matukio mawili tofauti, ambao wanatuhumiwa kuwa vinara wa matukio ya mauaji yaliyotokea msikitini Mwanza na jijini Tanga.

Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu, Simon Sirro alisema katika tukio la kwanza Polisi wakati wa ufuatiliaji wa mtuhumiwa wa mauaji ya msikitini jijini Mwanza, Salum Said alikimbilia Dar es Salaam baada ya kufanya tukio hilo” – Habari Leo

Mahakama ya Afrika Kusini Yamkalia Kooni Rais Zuma
Nampalys Mendy Kukabidhiwa Mikoba Ya Kante