Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene amewataka wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kwa jina la Machinga kuacha kufanya shughuli zao sehemu za barabarani na sehemu ambazo haziruhusiwi.

Simbachawene amesema hayo wakati akizungumza na dar24.com ambapo ameema kuwa kuna sehemu ambazo zimetengwa kwa ajili yao na si vinginevyo.

Aidha, Waziri huyo amezitaka mamlaka za Serikali za mitaa kutenga maeneo ya wafanyabiashara hao ili kuondokana na na usumbufu huo. Tazama hapa

Faustino Asprilla: Cristiano Ronaldo Ni Mbinafsi
Mahakama Kuu yabariki ushindi wa Bulaya, Wassira aanguka tena